Eleza maana ya misemo ifuatayo :- (i) Giza la ukata… (ii) Meza mate machungu

      

Eleza maana ya misemo ifuatayo :-
(i) Giza la ukata…
(ii) Meza mate machungu

  

Answers


Maurice
i) hali ya umaskini mkubwa

ii) Vumilia shida/ taabu
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 13:44


Next: KIKAZA. ‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.
Previous: “Tazamana na mauti” S. A. Mohamed. Basi, minyororo ya kufungika kwa hamu ya Uingereza, ilizidi kufunga moyo wake. Lini angepata na ya kupenya kwenye chungio ...“ a)...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions