Wanafunzi : Shikamoo mwalimu ?

      

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Wanafunzi : Shikamoo mwalimu ?
Mwalimu : Marahaba . Karibuni katika funzo la leo. Mnamo jana , juzi na mwisho wa juma tumejifunza kuhusu vitenzi , vivumishi, vielezi na vihisishi. Today........ samahani! But kabla hatujaendelea , do you remember all that ?
Wanafunzi : Samahani mwalimu , hatukushughulikia vihisishi.
Mwalimu : Really ? Nilidhani tulipiga hatua na kupitia................ anyway , msijali.

Maswali
Taja kanuni inayothibiti matumizi ya lugha katika kifungu hiki na kupelekea kuwepo kwa sifa zifuatazo katika mazungumzo haya;-
i) Lugha ya adabu –
ii) Kuchanganya Ndimi –
iii) Msamiati maalum –

  

Answers


sharon
i) Uhusiano baina ya mwalimu na mwanafunzi
ii) Uwezo wa lugha alionao mwalimu.
Mazoea yake.
Ukosefu wa subira.
iii) Mada / kinachozungumziwa / yaliyomo.
sharon kalunda answered the question on October 4, 2019 at 13:47


Next: Taja aina za vitenzi vilivyopigiwa mstari katika sentensi iuatayo Mama amewahi kupika jikoni
Previous: Unda vitenzi kutokana na :- (i) Mkufunzi (ii) Maeneo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions