Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :- Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka mwaka uliokuwa umetangulia.

      

Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :-
Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka
mwaka uliokuwa umetangulia.

  

Answers


Maurice
“Mimi nimeonewa kwa kuwa sijashiriki ulevi kutoka mwaka jana”.
Mshtakiwa alijitetea
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:07


Next: Tunga sentensi itakayodhihirisha matumizi ya kielezi cha namna mfanano
Previous: Pambanua viungo vya kisarufi katika kitenzi kifuatacho Tuliwalimia

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions