Pambanua viungo vya kisarufi katika kitenzi kifuatacho Tuliwalimia

      

Pambanua viungo vya kisarufi katika kitenzi kifuatacho
Tuliwalimia

  

Answers


Maurice
TU- Nafsi ya kwanza uwingi (watendaji)
LI- Wakati uliopita
WA- Nafsi ya tatu uwingi (Watendewa)
LIM- Mzizi wa kitenzi
I- kauli ya kutendewa
A-Kiishio/ kimalizio
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:10


Next: Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :- Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka mwaka uliokuwa umetangulia.
Previous: Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo: Mizizi ya mibaruti hii iliwaponya watu ambao walikuwa na shida kama hii yenu (kanusha kwa umoja)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions