Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.
Mzizi wa mbaruti huu haukumponya mtu ambaye alikuwa na shida kama hii yako
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:12
- Pambanua viungo vya kisarufi katika kitenzi kifuatacho
Tuliwalimia(Solved)
Pambanua viungo vya kisarufi katika kitenzi kifuatacho
Tuliwalimia
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :-
Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka
mwaka uliokuwa umetangulia.(Solved)
Andika sentensi ifuatayo katika msemo halisi :-
Mshtakiwa alidai kwamba alikuwa ameonewa kwa kuwa hakuwa ameshiriki ulevi kutoka
mwaka uliokuwa umetangulia.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi itakayodhihirisha matumizi ya kielezi cha namna mfanano(Solved)
Tunga sentensi itakayodhihirisha matumizi ya kielezi cha namna mfanano
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Akifisha sentensi ifuatayo:-
ah huu ndio upuuzi aliotuitia mmoja wao akaropoka.(Solved)
Akifisha sentensi ifuatayo:-
ah huu ndio upuuzi aliotuitia mmoja wao akaropoka.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili za sentensi :-
Mama alimlimia mwanawe shamba(Solved)
Eleza maana mbili za sentensi :-
Mama alimlimia mwanawe shamba
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vishale
Mwalimu huyu mzuri anafundisha darasani.(Solved)
Changanua sentensi ifuatayo kwa kutumia vishale
Mwalimu huyu mzuri anafundisha darasani.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali. Ndimi Kisoi, dume laukoo mtukufu.(Solved)
Soma kifungu kifuatacho kasha ujibu maswali
Ndimi Kisoi, dume laukoo mtukufu.
Ulojipambanua kwa mabingwa
Wachezaji hodari wa ngoma
Ndimi dume liloingia nyanjani
Makoo yakatetemeka
Yakangangania gozi kusakata ngoma.
a) Tambulisha kipera kinachojitokeza katika kifungu hiki.
b) Eleza sifa tano bainifu za kipera hiki katika fasihi simulizi.
c) Fafanua umuhimu wa kipera hiki.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Unda vitenzi kutokana na :-
(i) Mkufunzi
(ii) Maeneo(Solved)
Unda vitenzi kutokana na :-
(i) Mkufunzi
(ii) Maeneo
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Wanafunzi : Shikamoo mwalimu ?(Solved)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Wanafunzi : Shikamoo mwalimu ?
Mwalimu : Marahaba . Karibuni katika funzo la leo. Mnamo jana , juzi na mwisho wa juma tumejifunza kuhusu vitenzi , vivumishi, vielezi na vihisishi. Today........ samahani! But kabla hatujaendelea , do you remember all that ?
Wanafunzi : Samahani mwalimu , hatukushughulikia vihisishi.
Mwalimu : Really ? Nilidhani tulipiga hatua na kupitia................ anyway , msijali.
Maswali
Taja kanuni inayothibiti matumizi ya lugha katika kifungu hiki na kupelekea kuwepo kwa sifa zifuatazo katika mazungumzo haya;-
i) Lugha ya adabu –
ii) Kuchanganya Ndimi –
iii) Msamiati maalum –
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Taja aina za vitenzi vilivyopigiwa mstari katika sentensi iuatayo
Mama amewahi kupika jikoni(Solved)
Taja aina za vitenzi vilivyopigiwa mstari katika sentensi iuatayo
Mama amewahi kupika jikoni
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- “Tazamana na mauti” S. A. Mohamed.
Basi, minyororo ya kufungika kwa hamu ya Uingereza, ilizidi kufunga moyo wake. Lini angepata na ya kupenya kwenye chungio ...“
a)...(Solved)
“Tazamana na mauti” S. A. Mohamed.
Basi, minyororo ya kufungika kwa hamu ya Uingereza, ilizidi kufunga moyo wake. Lini angepata na ya kupenya kwenye chungio ...“
a) Eleza njia ambazo zingetumiwa kutimiza hamu ya Uingereza.
b) Tamaa mbele mauti nyuma. Fafanua ukirejelea hadithi ya Tazamana na Mauti.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya misemo ifuatayo :-
(i) Giza la ukata…
(ii) Meza mate machungu(Solved)
Eleza maana ya misemo ifuatayo :-
(i) Giza la ukata…
(ii) Meza mate machungu
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- KIKAZA.
‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio
Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.
(Solved)
KIKAZA.
‘Wenzangu wote mwafahamu hadithi ya kobe?’ Mzee babu aliuliza. Wote walijibu, “ndio
Eleza umuhimu wa hadithi ya kobe ukirejelea hadithi ya Kikaza.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- “Damu Nyeusi.” (K Walibora)
“Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.”
(i) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(ii) Bainisha mifano mitatu ya...(Solved)
“Damu Nyeusi.” (K Walibora)
“Tangu hapo ameendelea kuwa mwanafunzi mzuri ... Amejifunza kuwa hakuna mahali kama nyumbani.”
(i) Eleza muktadha wa dondoo hili.
(ii) Bainisha mifano mitatu ya mbinu rejeshi na kiini cha mifano hiyo katika hadithi.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Kanusha.
Wanafunzi wale wala wakiongea.(Solved)
Kanusha.
Wanafunzi wale wala wakiongea.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya po – ya wakati.(Solved)
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili ya po – ya wakati.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Viongozi wa Cheneo walionekana kutowajibika. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea Tamthilia yote.(Solved)
Viongozi wa Cheneo walionekana kutowajibika. Thibitisha kauli hii kwa kurejelea Tamthilia yote.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Jaza viashiria vya uradidi vya mbali kidogo.
i) Mbuzi –
ii) Gazeti –(Solved)
Jaza viashiria vya uradidi vya mbali kidogo.
i) Mbuzi –
ii) Gazeti –
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia(Solved)
Andika sentensi tatu ambazo zaweza kuwa sahihisho la sentensi hii:-
Kule ndimo alipoingia
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)
- RIWAYA.
K Walibora: Kidagaa Kimemwozea.
“Kama ilivyo ada yake usiku uliotangulia alikuwa kenda kwa shughuli fulani alizoziita kusuluhisha mgogoro wa ardhi.”
Eleza migogoro inayojidhihirisha katika riwaya ya Kidagaa...(Solved)
RIWAYA.
K Walibora: Kidagaa Kimemwozea.
“Kama ilivyo ada yake usiku uliotangulia alikuwa kenda kwa shughuli fulani alizoziita kusuluhisha mgogoro wa ardhi.”
Eleza migogoro inayojidhihirisha katika riwaya ya Kidagaa Kimemwozea.
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)