Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Tunga sentensi ukitumia neno “Vile” kama: (i) Kiwakilishi (ii) Kivumishi (iii) Kielezi

      

Tunga sentensi ukitumia neno “Vile” kama:
(i) Kiwakilishi
(ii) Kivumishi
(iii) Kielezi

  

Answers


Maurice
i) vile vitauzwa
ii) Vitu vile vitauzwa
iii) Viti huuzwa vile meza huuzwa
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:15


Next: Andika upya sentensi ifuatayo kwa kufuata maagizo: Mizizi ya mibaruti hii iliwaponya watu ambao walikuwa na shida kama hii yenu (kanusha kwa umoja)
Previous: Bainisha matumizi viambishi “ku” na “Ji” katika sentensi zifuatazo:- (i) Mwanafunzi hukusoma kwa bidii (ii) Atakupiga (iii) Amejikata (iv) Mchezaji huyu ni hodari

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions