Bainisha matumizi viambishi “ku” na “Ji” katika sentensi zifuatazo:- (i) Mwanafunzi hukusoma kwa bidii (ii) Atakupiga (iii) Amejikata (iv) Mchezaji huyu ni hodari

      

Bainisha matumizi viambishi “ku” na “Ji” katika sentensi zifuatazo:-
(i) Mwanafunzi hukusoma kwa bidii
(ii) Atakupiga
(iii) Amejikata
(iv) Mchezaji huyu ni hodari

  

Answers


Maurice
i. KU- kiambishi kanushi cha wakati uliopita
ii. KU- kurejesha nafsi ya pili umoja
iii. JI- binafsi yenye mwenyewe
iv. JI – uzoefu wa kutenda jambo
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:20


Next: Tunga sentensi ukitumia neno “Vile” kama: (i) Kiwakilishi (ii) Kivumishi (iii) Kielezi
Previous: Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha Kijibwa changu ni kikali sana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions