Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha Kijibwa changu ni kikali sana

      

Andika sentensi ifuatayo kwa ukubwa huku ukikanusha
Kijibwa changu ni kikali sana

  

Answers


Maurice
jibwa langu si kali sana
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:23


Next: Bainisha matumizi viambishi “ku” na “Ji” katika sentensi zifuatazo:- (i) Mwanafunzi hukusoma kwa bidii (ii) Atakupiga (iii) Amejikata (iv) Mchezaji huyu ni hodari
Previous: Jaza mapengo:- Kutenda----------> Kutendesha (i) Chota (ii) Lewa

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions