Tumia neno “shujaa” katika sentensi kama:- (i) Kivumishi (ii) Kielezi...

      

Tumia neno “shujaa” katika sentensi kama:-
(i) Kivumishi
(ii) Kielezi...

  

Answers


Maurice
Kivumishi : Askari shujaa ametuzwa
Kielezi: Askari yule alipigana kishujaa
maurice.mutuku answered the question on October 4, 2019 at 14:34


Next: Taja sauti moja ya Kiyeyusho
Previous: Tambua vitenzi katika sentensi hii:- Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions