Tambua vitenzi katika sentensi hii:- Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi

      

Tambua vitenzi katika sentensi hii:-

Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi

  

Answers


Maurice
Vitenzi – tulikwisha, kutambua, alikuwa ndiye
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:19


Next: Tumia neno “shujaa” katika sentensi kama:- (i) Kivumishi (ii) Kielezi...
Previous: Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:- Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions