Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:- Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi

      

Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:-
Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi

  

Answers


Maurice
Ma(ji) chinjio haya yalikarabatiwa kwa ma(ji) pesa mengi
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:22


Next: Tambua vitenzi katika sentensi hii:- Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi
Previous: Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:- (i) Jambazi kutoka dukani liliiba. (ii) Liliiba jambazi kutoka dukani. (iii) Kutoka dukani jambazi liliiba. (iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions