Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:- (i) Jambazi kutoka dukani liliiba. (ii) Liliiba jambazi kutoka dukani. (iii) Kutoka dukani jambazi liliiba. (iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.

      

Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:-
(i) Jambazi kutoka dukani liliiba.
(ii) Liliiba jambazi kutoka dukani.
(iii) Kutoka dukani jambazi liliiba.
(iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.

  

Answers


Maurice
(i) Jambazi lililoiba linaishi dukkani
(ii) Jambazi linaloishi dukani ndilo liliiba
(iii) Jambazi liliiba punde tu baada ya kutoka dukani
(iv) Jambazi liliiba vitu kutoka kwenye duka
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:25


Next: Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:- Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi
Previous: Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi:- (i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi (ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions