Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi:- (i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi (ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze

      

Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi:-
(i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi
(ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze

  

Answers


Maurice
(i) Uvichanganue

(ii) Kulizibua
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:29


Next: Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:- (i) Jambazi kutoka dukani liliiba. (ii) Liliiba jambazi kutoka dukani. (iii) Kutoka dukani jambazi liliiba. (iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.
Previous: Unganisha sentensi hii kwa kutumia ‘O’ rejeshi :- Wavu umekatika. Wavu ni wao

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions