Eleza matumizi mawili ya “ka“ na utunge sentensi kwa kila mojawapo

      

Eleza matumizi mawili ya “ka“ na utunge sentensi kwa kila mojawapo

  

Answers


Maurice
(i) Lengo /nia kama, Nipe pesa nikanunue kitabu

(ii) Kitendo cha pili (matokeo ya kitendo cha kwana kama, Alianguka akaumia.
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:35


Next: Unganisha sentensi hii kwa kutumia ‘O’ rejeshi :- Wavu umekatika. Wavu ni wao
Previous: Andika katika usemi halisi:- Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions