Andika katika usemi halisi:- Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo

      

Andika katika usemi halisi:-
Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo

  

Answers


Maurice
“Harakisheni mrudi leo, la sivyo mtakosa tuzo” mama alisema
Mama alisema “Harakisheni mrudi leo, la sivyo mtakosa tuzo”.
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:45


Next: Eleza matumizi mawili ya “ka“ na utunge sentensi kwa kila mojawapo
Previous: Akifisha sentensi ifuatayo:- Sijaona kitabu kizuri kama mayai waziri wa maradhi, utaniazima siku ngapi bashiri alimwuliza rita

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions