Akifisha sentensi ifuatayo:- Sijaona kitabu kizuri kama mayai waziri wa maradhi, utaniazima siku ngapi bashiri alimwuliza rita

      

Akifisha sentensi ifuatayo:-
Sijaona kitabu kizuri kama mayai waziri wa maradhi, utaniazima siku ngapi bashiri
alimwuliza rita

  

Answers


Maurice
“Sijaona kitabu kizuri kama “Mayai waziri wa Maradhi,” Utaniazima siku ngapi?” Bashiri
alimwuliza Rita.
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 06:47


Next: Andika katika usemi halisi:- Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo
Previous: Changanua kwa njia ya mishale Mama anapika na baba akisoma gazeti

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions