Tungia vitenzi vifuatavyo sentensi katika hali zilizobanwa:- (i) Fa(mazoea) (ii) La(kutendeka) (iii) Pa (kutendea)

      

Tungia vitenzi vifuatavyo sentensi katika hali zilizobanwa:-
(i) Fa(mazoea)
(ii) La(kutendeka)
(iii) Pa (kutendea)

  

Answers


Maurice
(i) Fa (mazoea) kama watu hufa kwa maradhi mbalimbali
(ii) La(kutendeka) kama Chakula hiki hulika upesi.
(iii) Pa(kutendea ) kama Alinipea mtoto maziwa nilipochelewa kazini (kwa niaba yangu)
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:05


Next: Changanua kwa njia ya mishale Mama anapika na baba akisoma gazeti
Previous: Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions