Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana

      

Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru
Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana

  

Answers


Maurice
(i) Wanafunzi waliofanya vyema – kishazi tegemezi

(ii) Walituzwa jana- kishazi huru
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:08


Next: Tungia vitenzi vifuatavyo sentensi katika hali zilizobanwa:- (i) Fa(mazoea) (ii) La(kutendeka) (iii) Pa (kutendea)
Previous: Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo Waliwapendezea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions