Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo Waliwapendezea

      

Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo
Waliwapendezea

  

Answers


Maurice
wa – nafsi
li – wakati
wa – nafsi (mtendewa)
pend – mzizi .shina
eze- kauli/kinyambuzi
a – kiishio
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:12


Next: Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana
Previous: Onyesha viwakilishi katika sentensi zifuatazo kisha ueleze ni vya aina gani:- i) Unamjua vyema kweli? (ii) Hicho wanachokitaka hakipo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions