Onyesha viwakilishi katika sentensi zifuatazo kisha ueleze ni vya aina gani:- i) Unamjua vyema kweli? (ii) Hicho wanachokitaka hakipo

      

Onyesha viwakilishi katika sentensi zifuatazo kisha ueleze ni vya aina gani:-
i) Unamjua vyema kweli?
(ii) Hicho wanachokitaka hakipo

  

Answers


Maurice
i) U- nafsi tegemezi
ii) Hicho- Kiwakilishi kionyeshi
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:19


Next: Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo Waliwapendezea
Previous: Mwezi jana, Serikali ya kitaifa na zile za kaunti ziliwasilisha makadirio yao ya bajeti, miezi miwili kabla ya mwaka wa kifedha kuisha kama zinavyohitajika na...

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions