Bainisha sifa zinazotofautisha sauti zifuatazo: /e/ na /u/

      

Bainisha sifa zinazotofautisha sauti zifuatazo:
/e/ na /u/

  

Answers


Wilfred
Irabu
/e/ - ni irabu ya mbele
- ni ya kati.
- midomo huwa tandaze


/u/ - irabu ya nyuma.
- irabu ya juu.
- midomo huviringwa
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:21


Next: Mwezi jana, Serikali ya kitaifa na zile za kaunti ziliwasilisha makadirio yao ya bajeti, miezi miwili kabla ya mwaka wa kifedha kuisha kama zinavyohitajika na...
Previous: Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi:- (i) Minghairi ya (ii) Wala

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions