Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi:- (i) Minghairi ya (ii) Wala

      

Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi:-
(i) Minghairi ya
(ii) Wala

  

Answers


Maurice
i) Sentensi iwe na maana bila ya, pasipo, ghairi ya na kadhalika Mfano,wanafunzi walisafiri
mighairi ya shida

ii) Wala – sentensi ileta maana ya kulinganisha na kupinga. Mfano sitaenda kazini wala
kuhudhuria mkutano
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:22


Next: Bainisha sifa zinazotofautisha sauti zifuatazo: /e/ na /u/
Previous: Pigia mstari silabi inayowekwa shadda katika tungo lifuatalo

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions