Chakula kinapikika vizuri
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:28
- Andika katika hali ya mazoea:
(Solved)
Andika katika hali ya mazoea:
Mtambo ambao unakarabatiwa leo utatufaa
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi moja kubainisha kiwakilishi kiambata nafsi ya kwanza wingi(Solved)
Tunga sentensi moja kubainisha kiwakilishi kiambata nafsi ya kwanza wingi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Pigia mstari silabi inayowekwa shadda katika tungo lifuatalo(Solved)
Pigia mstari silabi inayowekwa shadda katika tungo lifuatalo:
Walituchochea
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi:-
(i) Minghairi ya
(ii) Wala(Solved)
Tumia viunganishi vifuatavyo katika sentensi:-
(i) Minghairi ya
(ii) Wala
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Bainisha sifa zinazotofautisha sauti zifuatazo:
/e/ na /u/(Solved)
Bainisha sifa zinazotofautisha sauti zifuatazo:
/e/ na /u/
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Mwezi jana, Serikali ya kitaifa na zile za kaunti ziliwasilisha makadirio yao ya bajeti, miezi miwili kabla ya mwaka wa kifedha kuisha kama zinavyohitajika na...(Solved)
Mwezi jana, Serikali ya kitaifa na zile za kaunti ziliwasilisha makadirio yao ya bajeti, miezi miwili kabla ya mwaka wa kifedha kuisha kama zinavyohitajika na katiba. Serikali hizo zilieleza jinsi zinavyonuia kutumia mabilioni ya pesa kufadhili shughuli zao mwaka ujao wa kifedha wa 2013/2014.
Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta ilisema itatumia shilingi 1.6 Trilioni kufadhili maendeleo na shughuli za sekta na idara zake tofauti. Makadirio haya ambayo yaliwasilishwa na kiongozi wa walio wengi bungeni, Bw Aden Duale. Hata hivyo yalikosa kueleza jambo moja muhimu – jinsi kitita hicho kitakavyopatikana. Nasema hivi kwa sababu kuna habari ambazo zimenipa tumbojoto na wasiwasi mkubwa. Imebainika kuwa kufikia mwishoni mwa Machi mwaka huu, Kenya ilikuwa inadaiwa Shilingi 1.8 Trilioni na wafadhili wa humu nchini na kigeni.
Kama habari hizi hazijakushtua sitakulaumu kwa sababu huenda ukawa hujui ukubwa wa kiasi hiki cha fedha. Ili uweze kuelewa, nitazigawanya fedha hizi miongoni mwa wakenya milioni 40 ili tujue kila mkenya anadaiwa kiasi gani. Kila mkenya nchini, wakiwemo watoto na wazee wakongwe, anadaiwa Shilingi 45,000 ! Hivyo basi ili deni hili liweze kulipwa, kila mkenya atalazimika kutoa kiasi hicho cha fedha.
Ni deni ambalo Rais Uhuru Kenyatta alirithi kutoka kwa mtangulizi wake, Rais Mwai Kibaki ambayo utawala wake ulivunja rekodi ya kukopa. Wahenga hawakukosea waliposema dawa ya deni ni kulipa. Deni hili linapaswa kumkosesha usingizi Rais Kenyatta ambaye anapaswa kutafuta njia za kulilipa bila kuathiri uchumi, maendeleo na utekelezaji wa ahadi nyingi alizowapatia wakenya wakati wa kampeni.
Hili halitafanyika kama serikali itatenga fedha nyingi kuwalipa maafisa wake mishahara na marupurupu minono pamoja na kuwapa mabilioni ya pesa kununulia magari ya kifahari. Pengine Rais hajafahamishwa kuwa mwaka ujao wa kifedha serikali itajipata pabaya kwani Halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini (KRA), haitaweza kukusanya kiwango kilichowekewa na serikali baada ya shughuli ya ushuru kutatizwa na hofu iliyotanda wakati wa uchaguzi
KRA imekusanya shilingi 560 bilioni kufikia mwishoni mwa Machi ilhali ilikuwa imeagizwa kukusanya shilingi 881 bilioni.
Serikali za kaunti, ambazo zingali changa, zimependekeza kutumia mabilioni ya fedha ambazo hazitaweza kukusanya. Badala yake zimeomba serikali kuu ijaze pengo hilo au zipewe idhini ya kukopa.
Rais Kenyatta hana budi kuchukua hatua za dharura kuhakikisha kuwa wakenya hawataendelea kuandamwa na madeni maishani mwao.
Maswali
a) Kwa maneno yasiyozidi 70, fupisha aya za kwanza nne
b) Kwa nini serikali haitaweza kulipa madeni yake? (maneno 40 -50)
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Onyesha viwakilishi katika sentensi zifuatazo kisha ueleze ni vya aina gani:-
i) Unamjua vyema kweli?
(ii) Hicho wanachokitaka hakipo(Solved)
Onyesha viwakilishi katika sentensi zifuatazo kisha ueleze ni vya aina gani:-
i) Unamjua vyema kweli?
(ii) Hicho wanachokitaka hakipo
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo
Waliwapendezea(Solved)
Pambanua viambishi mbalimbali katika sentensi ifuatayo
Waliwapendezea
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru
Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana(Solved)
Tambulisha kishazi tegemezi na kishazi huru
Wanafunzi waliofanya vyema walituzwa jana
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tungia vitenzi vifuatavyo sentensi katika hali zilizobanwa:-
(i) Fa(mazoea)
(ii) La(kutendeka)
(iii) Pa (kutendea)(Solved)
Tungia vitenzi vifuatavyo sentensi katika hali zilizobanwa:-
(i) Fa(mazoea)
(ii) La(kutendeka)
(iii) Pa (kutendea)
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Changanua kwa njia ya mishale
Mama anapika na baba akisoma gazeti(Solved)
Changanua kwa njia ya mishale
Mama anapika na baba akisoma gazeti
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Akifisha sentensi ifuatayo:-
Sijaona kitabu kizuri kama mayai waziri wa maradhi, utaniazima siku ngapi bashiri
alimwuliza rita(Solved)
Akifisha sentensi ifuatayo:-
Sijaona kitabu kizuri kama mayai waziri wa maradhi, utaniazima siku ngapi bashiri
alimwuliza rita
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika katika usemi halisi:-
Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo(Solved)
Andika katika usemi halisi:-
Mama aliwahimiza warudi siku hiyo la sivyo wangekosa tuzo
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi mawili ya “ka“ na utunge sentensi kwa kila mojawapo(Solved)
Eleza matumizi mawili ya “ka“ na utunge sentensi kwa kila mojawapo
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Unganisha sentensi hii kwa kutumia ‘O’ rejeshi :-
Wavu umekatika. Wavu ni wao(Solved)
Unganisha sentensi hii kwa kutumia ‘O’ rejeshi :-
Wavu umekatika. Wavu ni wao
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi:-
(i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi
(ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze(Solved)
Jaza neno ambalo ni kinyume cha lile lililopigwa mstari katika sentensi:-
(i) Vile vitu ulivyovichanganya itakubidi
(ii) Bomba hili limeziba mwite fundi aweze
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:-
(i) Jambazi kutoka dukani liliiba.
(ii) Liliiba jambazi kutoka dukani.
(iii) Kutoka dukani jambazi liliiba.
(iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.(Solved)
Eleza maana zinazojitokeza katika vifungu vifuatavyo:-
(i) Jambazi kutoka dukani liliiba.
(ii) Liliiba jambazi kutoka dukani.
(iii) Kutoka dukani jambazi liliiba.
(iv) Jambazi liliiba kutoka dukani.
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:-
Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi(Solved)
Andika wingi wa sentensi hii katika hali ya ukubwa:-
Kichinjio hiki kilikarabatiwa kwa pesa nyingi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tambua vitenzi katika sentensi hii:-
Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi(Solved)
Tambua vitenzi katika sentensi hii:-
Sisi tulikwisha kutambua alikuwa na nia mbaya. Yeye ndiye mwizi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tumia neno “shujaa” katika sentensi kama:-
(i) Kivumishi
(ii) Kielezi...(Solved)
Tumia neno “shujaa” katika sentensi kama:-
(i) Kivumishi
(ii) Kielezi...
Date posted: October 4, 2019. Answers (1)