Andika kwa ukubwa wingi: Mke wa mzee huyu hupenda mtoto huyu sana.

      

Andika kwa ukubwa wingi:

Mke wa mzee huyu hupenda mtoto huyu sana.

  

Answers


Wilfred
Majike ya majizee haya hupenda matoto sana
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:29


Next: Yakinisha sentensi ifuatayo:- Chakula hakipikiki vizuri
Previous: Changanua kwa kutumia mtindo wa jedwali: Wazazi wengi sana waliofika shuleni mapema walileta vyakula vingi sana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions