Yakinisha sentensi hii katika umoja: Msipohama hapa hamtapewa makazi mapya

      

Yakinisha sentensi hii katika umoja:

Msipohama hapa hamtapewa makazi mapya

  

Answers


Wilfred
Ukihama hapa utapewa makazi mapya
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:33


Next: Changanua kwa kutumia mtindo wa jedwali: Wazazi wengi sana waliofika shuleni mapema walileta vyakula vingi sana
Previous: Jibu kulingana na maagizo kwenye mabano:- (i) Hatujui ambako alitorokea (tumia ‘O’ rejeshi) (ii) Angekuwa na pete, angekupatia (ibadilishe katika wingi kisha uikanishe)

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions