Jibu kulingana na maagizo kwenye mabano:- (i) Hatujui ambako alitorokea (tumia ‘O’ rejeshi) (ii) Angekuwa na pete, angekupatia (ibadilishe katika wingi kisha uikanishe)

      

Jibu kulingana na maagizo kwenye mabano:-
(i) Hatujui ambako alitorokea (tumia ‘O’ rejeshi)
(ii) Angekuwa na pete, angekupatia (ibadilishe katika wingi kisha uikanishe)

  

Answers


Maurice
i) Hatujui alikotorokea

ii) Wangekuwa na pete, wangewapatia
Wasingekuwa na pete wasingewapatia
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:34


Next: Yakinisha sentensi hii katika umoja: Msipohama hapa hamtapewa makazi mapya
Previous: Onyesha kiima, chagizo na yambwa tendewa katika sentensi hii: Mkulima alimfungia mwajiri ng’ombe kondeni

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions