Onyesha kiima, chagizo na yambwa tendewa katika sentensi hii: Mkulima alimfungia mwajiri ng’ombe kondeni

      

Onyesha kiima, chagizo na yambwa tendewa katika sentensi hii:

Mkulima alimfungia mwajiri ng’ombe kondeni

  

Answers


Wilfred
Mkulima – kiima

Mwajiri – yambwa tendewa

Kondeni – chagizo
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:36


Next: Jibu kulingana na maagizo kwenye mabano:- (i) Hatujui ambako alitorokea (tumia ‘O’ rejeshi) (ii) Angekuwa na pete, angekupatia (ibadilishe katika wingi kisha uikanishe)
Previous: Tunga sentensi ukitumia kitenzi ‘pwa’ katika kauli ya kutendea

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions