Eleza matumizi ya ‘ji’ katika sentensi hii: Mwimbaji amejikata jidole lake kwa jiwe

      

Eleza matumizi ya ‘ji’ katika sentensi hii:

Mwimbaji amejikata jidole lake kwa jiwe

  

Answers


Wilfred
Mwimbaji – uundaji wa nomino

amejikata – urejeshi

jidole – ukubwa

jiwe – uundaji wa nomino katika umoja
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:39


Next: Tunga sentensi ukitumia kitenzi ‘pwa’ katika kauli ya kutendea
Previous: Tunga sentensi moja ukitumia kinyume cha neno ‘lewa’.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions