Bainisha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo:- Maksuudi alimjengea Tamima Kasri kwa matofali mazuri

      

Bainisha shamirisho kipozi, kitondo na ala katika sentensi ifuatayo:-
Maksuudi alimjengea Tamima Kasri kwa matofali mazuri

  

Answers


Maurice
Tamima- Shamirisho kitondo
Kasri- Shamirisho kipozi
Kwa matofali- shamirisho ala/ kitunzi
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:44


Next: Tunga sentensi moja ukitumia kinyume cha neno ‘lewa’.
Previous: Tunga sentensi yenye kiigizi na kihusishi cha mahali

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions