Tunga sentensi moja kuonyesha tofauti ya maana kati ya ‘guna’ na ‘kuna’

      

Tunga sentensi moja kuonyesha tofauti ya maana kati ya ‘guna’ na ‘kuna’

  

Answers


Wilfred
Guna – Toa sauti ya kuonyesha kukataa au kushangaa.

Kuna - Kwangua au kwaruza kwa makucha
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:53


Next: Changanua sentensi ifuatayo kwa njia ya mishale/mistari:- Watoto wote wameamka mapema na wazazi wanatayarisha staftahi
Previous: Ainisha vitenzi katika tungo lifuatalo: Huyu alikuwa angali bwenini

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions