Ainisha vitenzi katika tungo lifuatalo: Huyu alikuwa angali bwenini

      

Ainisha vitenzi katika tungo lifuatalo:

Huyu alikuwa angali bwenini

  

Answers


Wilfred
alikuwa – kitenzi kisaidizi

angali – kitenzi kishirikishi kikamilifu
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:54


Next: Tunga sentensi moja kuonyesha tofauti ya maana kati ya ‘guna’ na ‘kuna’
Previous: Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi Shuku Vumilia shona lia

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions