Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi Shuku Vumilia shona lia

      

Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi
Shuku
Vumilia
shona
lia

  

Answers


Maurice
-Shuku- mshukukiwa/ kushuku/ ushukiwa
-vumilia- uvumilivu/ mvumilivu/ kuvumilia
-Shona- Mshono/ mshoni/ mshonaji/ ushonaji/ kushona
-Lia- mlio/ kilio/ kulia
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:55


Next: Ainisha vitenzi katika tungo lifuatalo: Huyu alikuwa angali bwenini
Previous: Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions