Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:

      

Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:

Wananchi walikabiliwa na hatari
Wananchi waliendelea kuwaokoa majeruhi

  

Answers


Wilfred
Wananchi waliendelea kuwaokoa majeruhi japo walikabiliwa na hatari
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:56


Next: Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi Shuku Vumilia shona lia
Previous: Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions