Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru

      

Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru

  

Answers


Wilfred
1. Misafara ya watu waliokuwa wakishiriki katika biashara ya Pwani na sehemu za bara.

2. Maingiliano ya watu waliokuwa wakifanya biashara ya utumwa, pembe za ndovu n.k.

3. Sababu za kisiasa ambapo wakoloni walitaka kutumia Kiswahili ili kuendeleza utawala wao.

4. Juhudi za kutoka kusambaza dini ya Kiislamu na kikristo miongoni mwa mwenyeji.

5. Matumizi ya vyombo vya habari kama magazeti, redio n.k
Wilfykil answered the question on October 5, 2019 at 07:57


Next: Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:
Previous: Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo (i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari (ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions