Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo (i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari (ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi

      

Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo
(i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari
(ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi

  

Answers


Maurice
(i) jinsi- Imetumika kuonyesha jinsi ya kutekeleza jambo

(ii) Jinsi- Imetumiwa kuonyesha mwenendo
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 07:59


Next: Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru
Previous: Bainisha aina za nomino zilizopigiwa mistari katika sentensi hii:- Uhodari wa wanariadha wa Kenya unahitajika kote duniani

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions