Bainisha aina za nomino zilizopigiwa mistari katika sentensi hii:- Uhodari wa wanariadha wa Kenya unahitajika kote duniani

      

Bainisha aina za nomino zilizopigiwa mistari katika sentensi hii:-
Uhodari wa wanariadha wa Kenya unahitajika kote duniani

  

Answers


Maurice
(i) Uhodari- nomino dhaharia

(ii) Wanariadha- nomino ya kawaida

(iii) Kenya- nomino ya pekee
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 08:07


Next: Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo (i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari (ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi
Previous: Vile lelo walalama, kwa yale ulotendewa, Huyakumbuki ya nyuma, pindi ulipochachawa,

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions