Tunga sentensi ukitumia mzizi – choyo kama :- (i) nomino (ii) Kivumishi (iii) Kiwakilishi

      

Tunga sentensi ukitumia mzizi – choyo kama :-
(i) nomino
(ii) Kivumishi
(iii) Kiwakilishi

  

Answers


Maurice
i) Choyo kama nomino
Mfano:Uchoyo wa kocho ni wa kupita kiasi

ii) kama kivumishi
Mfano:Mtoto mchoyo hapendwi na wenzake

iii) Kama kiwakilishi
Mfano:Mchoyo aliyeninyima chakula ameshikwa na polisi
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 08:13


Next: Vile lelo walalama, kwa yale ulotendewa, Huyakumbuki ya nyuma, pindi ulipochachawa,
Previous: …unaa…seema mimiiii sipakui?...wataka mimi nipike? Ehee? Ati mimi nalaza damu? Wewe unaiamsha damu?

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions