Geuza zentensi zifuatazo katika kauli kwenye mabano:- (i) Fundi ameharibu saa (kutendea) (ii) Umemwona mgeni? (kutendewa)

      

Geuza zentensi zifuatazo katika kauli kwenye mabano:-
(i) Fundi ameharibu saa (kutendea)
(ii) Umemwona mgeni? (kutendewa)

  

Answers


Maurice
i) Fundi amemharibia saa
ii) Umeonewa mgeni?
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 08:24


Next: Tamthilia ya Mstahiki Meya ni taswira kamili ya mataifa mengi barani Afrika. Thibitisha kauli hii
Previous: Ken Walibora na Said A. Mohamed: Damu Nyeusi “Hapa huingii bila kuninyoshea mkono…”

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions