Andika kwa udogo:- Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake

      

Andika kwa udogo:-
Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake

  

Answers


Maurice
Kigari cha mzee Maritu kimekigonga kigombe cha jirani wake
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 08:27


Next: Kwa kurejelea hadithi ya Mke Wangu eleza mambo yanayochangia kuimarika kwa ndoa
Previous: Andika sifa bainifu za sauti (i) e:- (ii) n:-

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions