Andika sifa bainifu za sauti (i) e:- (ii) n:-

      

Andika sifa bainifu za sauti
(i) e:-
(ii) n:-

  

Answers


Maurice
i) e – Irabu ya mbele – hutamkwa kutumia sehemu ya mbele ya ulimi
- Irabu ya midomo – hutamkwa midomo ikiwa imetandazwa

ii) n – sauti ya ufizi
- Nazali
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 08:44


Next: Andika kwa udogo:- Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake
Previous: Tunga sentensi moja moja kudhihirisha ngeli zifuatazo:- (i) U-U (ii) Pokomo /Pa-ku-mu

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions