Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’

      

Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’

  

Answers


Maurice
- Kudhihirisha vitenzi vya silabi moja – kula, kuja na kadhalika
-Mwanzo wa vitenzi
-Wakati wa ukanusho kama haku, hatuku……
-Kuonyesha mahali kama kuliko na miti
-Kiwakilishi cha nafsi kama anakuita
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 09:01


Next: Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”
Previous: Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna, kivumishi,kitenzi na jina

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions