Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna, kivumishi,kitenzi na jina

      

Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina

  

Answers


Maurice
Mfano: Msichana yule anasoma barabara
maurice.mutuku answered the question on October 5, 2019 at 09:04


Next: Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’
Previous: Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:- (a) Alama ya mshangao (b) Mshazari

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions