Get premium membership and access questions with answers, video lessons as well as revision papers.

Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:- (a) Alama ya mshangao (b) Mshazari

      

Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari

  

Answers


Maurice
a) Mshangao
-Kuonyesha hisia
-Kuamrisha
-Kutahadharisha/ kuonya

b) Mshazari
-Katika uandishi wa kumbu 2
-Kuonyesha maneno Fulani yana maana sawa
-Kuonyesha ‘au’
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 04:58


Next: Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna, kivumishi,kitenzi na jina
Previous: Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Learn High School English on YouTube

Related Questions