Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi(i) Dhamani(ii) Thamani

      

Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi
(i) Dhamani
(ii) Thamani

  

Answers


Maurice
i) Dhamani – mwezi wa mwisho wa kusi (demani)
ii) Thamani – Gharama / ubora wa kitu/ bei
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 05:12


Next: Andika udogo wa sentensi:- Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.
Previous: 

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions