Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:- Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.

      

Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.

  

Answers


Maurice
Mchezaji – kipozi
mwenzake – kitondo
kwa mguu- ala
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 05:17


Next: 
Previous: Study the diagram below and answer the questions that follow.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions