Andika katika usemi wa taarifa:- Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.

      

Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.

  

Answers


Maurice
Mwalimu alimwambia mwanafunzi kuwa wangeaza mashindano kesho yake/ siku
itakayofuata
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 05:27


Next: An experiment was carried out to determine the effect of drinking on excess amount of water on the flow of urine. A person drinks one...
Previous: Describe the path taken by urea from the organ where it is formed until it is released from the human body.

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions