– Njia
- Vizuri/ mwafaka/ sawasawa
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 05:29
- Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano(Solved)
Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.(Solved)
Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi(i) Dhamani(ii) Thamani(Solved)
Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi
(i) Dhamani
(ii) Thamani
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.(Solved)
Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana(Solved)
Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari(Solved)
Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina(Solved)
Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’(Solved)
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”(Solved)
Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi moja moja kudhihirisha ngeli zifuatazo:-
(i) U-U
(ii) Pokomo /Pa-ku-mu(Solved)
Tunga sentensi moja moja kudhihirisha ngeli zifuatazo:-
(i) U-U
(ii) Pokomo /Pa-ku-mu
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika sifa bainifu za sauti
(i) e:-
(ii) n:-(Solved)
Andika sifa bainifu za sauti
(i) e:-
(ii) n:-
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika kwa udogo:-
Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake(Solved)
Andika kwa udogo:-
Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Geuza zentensi zifuatazo katika kauli kwenye mabano:-
(i) Fundi ameharibu saa (kutendea)
(ii) Umemwona mgeni? (kutendewa)(Solved)
Geuza zentensi zifuatazo katika kauli kwenye mabano:-
(i) Fundi ameharibu saa (kutendea)
(ii) Umemwona mgeni? (kutendewa)
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia mzizi – choyo kama :-
(i) nomino
(ii) Kivumishi
(iii) Kiwakilishi(Solved)
Tunga sentensi ukitumia mzizi – choyo kama :-
(i) nomino
(ii) Kivumishi
(iii) Kiwakilishi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Bainisha aina za nomino zilizopigiwa mistari katika sentensi hii:-
Uhodari wa wanariadha wa Kenya unahitajika kote duniani(Solved)
Bainisha aina za nomino zilizopigiwa mistari katika sentensi hii:-
Uhodari wa wanariadha wa Kenya unahitajika kote duniani
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo
(i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari
(ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi(Solved)
Eleza maana ya ‘jinsi’ kama inavyojitokeza katika sentensi zifuatazo
(i) Naomba unionyeshe jinsi ya kuendesha gari
(ii) Wakenya hawapendezwi na jinsi viongozi wanavyoendeleza ufisadi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru(Solved)
Eleza mambo matano yaliyochangia kuenea kwa Kiswahili nchini kabla na baada ya uhuru
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:(Solved)
Unganisha sentensi hizi ukitumia kiunganishi cha kinyume:
Wananchi walikabiliwa na hatari
Wananchi waliendelea kuwaokoa majeruhi
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi
Shuku
Vumilia
shona
lia(Solved)
Unda nomino moja moja kwa kila kitenzi
Shuku
Vumilia
shona
lia
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)