- Sisi tunajua sheria ingawa tu wafisadi
Anza: Japo………….(Solved)
Sisi tunajua sheria ingawa tu wafisadi
Anza: Japo………….
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha viambishi katika neno lifuatalo:
atakuajiri(Solved)
Ainisha viambishi katika neno lifuatalo:
atakuajiri
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika katika wingi
Meza ii hii ndiyo aliyotumia kulia(Solved)
Andika katika wingi
Meza ii hii ndiyo aliyotumia kulia
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa
i) cha …
ii) nywa(Solved)
Nyambua vitenzi vifuatavyo katika kauli ya kutendewa
i) cha …
ii) nywa
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi: ‘umba’(Solved)
Tunga sentensi ukitumia kinyume cha kitenzi: ‘umba’
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Unda nomino za/lm,k, dhahania kutokana na maneno yafuatayo :-
i) Kwea .
ii) Himarisha(Solved)
Unda nomino za/lm,k, dhahania kutokana na maneno yafuatayo :-
i) Kwea .
ii) Himarisha
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Eleza maana mbili ya sentensi:-
Tumetengeneza barabara(Solved)
Eleza maana mbili ya sentensi:-
Tumetengeneza barabara
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.(Solved)
Andika katika usemi wa taarifa:-
Tutaanza mashindano kesho, Mwalimu alimwambia mwanafunzi.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano(Solved)
Huku ukitumia mifano mwafaka, eleza tofauti ya sentensi sahili na ambatano
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.(Solved)
Ainisha shamirisho /yambwa katika sentensi ifuatayo:-
Mchezaji alimpigia mwenzake mpira kwa mguu wa kushoto.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi(i) Dhamani(ii) Thamani(Solved)
Onyesha tofauti ya vitate vifuatavyo kwa kuvitungia sentensi
(i) Dhamani
(ii) Thamani
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.(Solved)
Andika udogo wa sentensi:-
Ndama wa ng’ombe yule ameuzwa.
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana(Solved)
Tunga sentensi sahihi ukitumia –wa- katika kauli ya kutendeana
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari(Solved)
Onyesha matumizi mawili mawili ya alama zifuatazo:-
(a) Alama ya mshangao
(b) Mshazari
Date posted: October 7, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina(Solved)
Tunga sentensi ya maneno manne ambayo ina sehemu zifuatazo. Kielezi cha namna,
kivumishi,kitenzi na jina
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’(Solved)
Eleza matumizi mawili ya kiambishi ‘ku’
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”(Solved)
Unda kitenzi kimoja kutokana na nomino ‘Mtubia”
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Tunga sentensi moja moja kudhihirisha ngeli zifuatazo:-
(i) U-U
(ii) Pokomo /Pa-ku-mu(Solved)
Tunga sentensi moja moja kudhihirisha ngeli zifuatazo:-
(i) U-U
(ii) Pokomo /Pa-ku-mu
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika sifa bainifu za sauti
(i) e:-
(ii) n:-(Solved)
Andika sifa bainifu za sauti
(i) e:-
(ii) n:-
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)
- Andika kwa udogo:-
Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake(Solved)
Andika kwa udogo:-
Gari la Mzee Maritu limegonga ng’ombe wa jirani wake
Date posted: October 5, 2019. Answers (1)