Taja sifa mbalimbali za sauti zifuatazo: /Z/ /K/

      

Taja sifa mbalimbali za sauti zifuatazo:
/Z/
/K/

  

Answers


Maurice
/z/ hutamkiwa kwa ufizi
- ni sauti ghuna

/k/ - hutamkiwa kwa kaakaa gumu
- ni sauti hafifu
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:04


Next: Changanua sentensi ifuatayo ukitumia njia ya matawi :- Amekuja kuwatembelea manusura waliopata ajali ya ndege
Previous: Andika udogo wa: Magari yote yaliyobakia yatauzwa na mzee yule mwembamba

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions