Sahihisha: i) Kila mwanafunzi alipewa ndazi na mayai moja ii) Nipee huo mkoba nitoemo vitabu zangu

      

Sahihisha:
i) Kila mwanafunzi alipewa ndazi na mayai moja
ii) Nipee huo mkoba nitoemo vitabu zangu

  

Answers


Maurice
(i) Kila mwanafunzi alipewa andazi a yai moja.

(ii) Nipe huo mkoba nitoe ndani vitabu vyangu.
maurice.mutuku answered the question on October 7, 2019 at 06:10


Next: Evaluate 5 ½ -1 1/7 (1 1/5 + 9/10 ) + 1/3 of(2/3 ÷5/6)
Previous: The interior angles of hexagon are (4x -5 )0, (4x + 5)0, 3x0, (4x +26)0, 2x0 and (2x + 5)0 Find the value of x

View More Kiswahili Questions and Answers | Return to Questions Index


Exams With Marking Schemes

Related Questions